Posts

Showing posts from 2021

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

Image
PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI UGONJWA WA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID) -Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye Ovary (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana). ⚫ Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID ⚫ Kuna aina mbalimbali za bakteria ambazo zinaweza kusababisha PID. Bakteria wengi wanaosababisha ugonjwa huu huanzia katika uke na huenea hadi kwenye mirija ya uzazi, mayai ya fallopian, kizazi, na kizazi cha mimba.  ⚫ Aina za bakteria zinazojulikana kusababisha PID ni pamoja na Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae, ambao ni waathirika wakuu wa maambukizi ya kijinsia (STIs). Bakteria wen

HEMORRHOIDS/PILES,SYMPTOMS & SIGNS,CAUSES,PREVENTIONS AND TREATMENT THROUGH NATURAL MEDICINES (HERBAL MEDICINES)

Image
 HEMORRHOIDS/PILES,SYMPTOMS & SIGNS,CAUSES,PREVENTIONS AND TREATMENT THROUGH NATURAL MEDICINES (HERBAL MEDICINES ) DR.MAPANDE +255764516995 +255656198441 thabitsayd@gmail.com Hemorrhoids/piles are swollen veins in your anus and lower rectum, similar to varicose veins/(swollen veins). Hemorrhoids can develop inside the rectum (internal hemorrhoids) or under the skin around the anus (external hemorrhoids ). Nearly three out of four adults will have hemorrhoids from time to time. Hemorrhoids have a number of causes as we shall see. SYMPTOMS AND SIGNS OF HEMORRHOIDS/PILES -Signs and symptoms of hemorrhoids always depend on the type of hemorrhoid. 1.  External hemorrhoids -These are under the skin around your anus. The following are the symptoms and signs of external piles/hemorrhoids;⤵⤵⤵ ▶️Itching or irritation in your anal region. ▶️Pain/discomfort ▶️Swelling around your anus ▶️Bleeding. 2️⃣ Internal hemorrhoids - Internal hemorrhoids lie inside the rectum. You usually can't see