PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI
PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI UGONJWA WA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID) -Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye Ovary (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana). ⚫ Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID ⚫ Kuna aina mbalimbali za bakteria ambazo zinaweza kusababisha PID. Bakteria wengi wanaosababisha ugonjwa huu huanzia katika uke na huenea hadi kwenye mirija ya uzazi, mayai ya fallopian, kizazi, na kizazi cha mimba. ⚫ Aina za bakteria zinazojulikana kusababisha PID ni pamoja na Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae, ambao ni waathirika wakuu wa maambukizi ya kijinsia (STIs). Bakteria wen