Posts

Showing posts from 2018

DAWA ASILI ZA KUREKEBISHA UUME ULOATHITIRIKA KWA PUNYETO

DAWA ASILI ZA KUREKEBISHA UUME ULOATHITIRIKA KWA PUNYETO _________________________________ πŸŒ½πŸ‰πŸŽπŸπŸŒπŸˆπŸ‹πŸŒ½πŸ‰πŸŽπŸπŸŒ½πŸ‰πŸŽπŸπŸŽπŸ‰πŸŒ½πŸŒπŸŒ½ ________________________________________ 1.✍ Mafuta ya mwarobani/Neem oil. 2.✍ Mafuta ya nyonyo/Castro oil. 3.✍ Mafuta ya Habat Saudaa/Black Seed oil. NB:Kila dawa hujitegemea MAELEKEZO: πŸ₯• Chukua kiasi cha Mafuta katika kiganja chako kisha pakaa uume wako kwa kuchua kila cku Mara mbili kwa siku kwa muda wa mwez mmoja hata kama utajihisi umepona kabla ya mwez kufika. MAELEZO YA FAIDA: πŸ₯₯Punyeto husababisha mgandamizo wa mfumo wa fahamu wa pembeni katika uume yaan peripheral nervous system na kupelekea usafirishwaji wa taarifa na muudo wa nevor kuwa mbovu na badala yake hisia za uume kupata taarifa na kupeleka taarifa kwenye ubongo kwaajil ya shughuli mbalimbali hupungua kama vile tendo la ndoa. 🍌 Mafuta hayo hurekebisha mfumo wa fahamu katika uume na kuufanya uume kuimarika na kufanya kazi zake kwa ufanisi. Ni maelezo kwa ufupi sana

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

Image
NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI Fig1:Dawa ya ngiri(Ngiri Sugu) Dr.Mapande WhatsApp/Call : +255656198441 thabitsayd@gmail.com Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.   Ni kujitokeza kwa Organ ama tissue kupitia Tundu/uwazi/udhaifu usio wa kawaida na kusababisha uvimbe katika katika Udhaifu ama tundu hilo. -Mfano wa Organ ni kama Utumbo na Mfano wa Tissue ni kama Misuli ,hivyo basi Either Utumbo ama Msuli nk unaweza kujitokeza kupitia uwazi huo kutokana na Mgandamizo kutokea ndan kuja nje na kusababisha uvimbe eneo ya Udhaifu. Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue)

VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO(peptic ulcers disease)

Image
VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS.                                                      FIG1; DAWA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO Dr.Mapande Tiba asili, Tanzania Whatsap; +255 764 516 995 Calls;          +255 656 198 441/+255 764 516 995 Email;         thabitsayd@gmail.com   VIDONDA VYA TUMBO(PEPTIC ULCERS ) Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk       AINA YA VIDONDA VYA TUMBO. Kuna aina tatu ya vidonda vya tumbo       GASTRIC ULCERS     Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwe