NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI
-Mfano wa Organ ni kama Utumbo na
Mfano wa Tissue ni kama Misuli ,hivyo basi Either Utumbo ama Msuli nk unaweza
kujitokeza kupitia uwazi huo kutokana na Mgandamizo kutokea ndan kuja nje na
kusababisha uvimbe eneo ya Udhaifu.
Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA
Fig2: Picha ikionesha baadhi ya aina za ngiri |
Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:
↪Tumboni
↪Eneo la kinena
↪Eneo la paja kwa juu
↪Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
↪Kifuani
Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote
AINA ZA NGIRI
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.
AINA KUU ZA NGIRI
⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1.Epigastric hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea tumboni yaani juu ya kitovu hivyo huweza kuambatana na maumivu ya tumbo,miungurumo ya tumbo nk
2.Hiatal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kifuani na huweza kupeleka maumivu makali ya kifuani na kujitokeza uvimbe katika kifua na mara nyingi husababishwa na tatizo na acid nyingi tumboni ( GERD)
3.Incisional Hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanyiwa upasuaji usiokuwa wa ngrir tumboni mfano upasuaji wa kawaida kama vile mjamzito anapojifungua kwa upasuaji nk
4.Inguinal Hernia
-Ni ngiri ambayo hutokea maeneo ya kinena kwa pembeni na inaweza kupelekea maumivu makali,kujitokeza kwa uvimbe kwenye kinena na huweza kushuka mpaka kwenye korodani na kusababisha kuvimba kwa korodani.
5.Femoral hernia
6.Umbilical hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye kitovu
7.Anal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea sehemu ya haja kubwa
8.Scrotal hernia
-Ni aina ya ngiri ambayo hutokea kwenye korodani
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1.Uzito kupita kiasi
2.Tumbo
kujaa maji
3.Kujisaidia choo kigumu
4.Kunyanyua vitu vizito
5.Ujauzito
6.Kikohozi sugu (Chronic
Obstructive Pulmonary Disorder)
7.Kuumia kutokana na majeraha ya
kawaida ama upasuaji
8.Umri Mkubwa
9.Uvutaji sigara
10.Kurithi
11.Nk
DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1Kubana tumbo khasa
chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2.Kupiga mingurumo
tumboni.
3.Kujaa gesi
tumboni.
4.Kuhisi haja kubwa
na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5.Kupata haja ngumu
kama ya mbuzi.
6.Kukaa siku kadhaa
bila kwenda haja kubwa.
7.Wakati fulani
unakwenda haja sana, kila mara.
8.Unaweza kufanya
jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9.Nuru ya macho
hupotea taratibu.
10.Hutokea wakati
mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11.Huvutwa makende au
upande mmoja maumivu.
12.Hupiga mishale
sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13.Maumivu makali ya
mgongo au kiuno
14.Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto
15 .Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16. Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17. Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.
18. Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas
19. Kuvimba kwa
korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU
Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵
1. Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)
2.Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati
3.Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo
4. Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar
5.Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.
6.Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk
7.Upungufu wa nguvu za kiume hii hutokana na kulegea kwa misuli ya uume na kupelekea uume kuwa legelege
8.Kupata bawasiri kutokana na kupata choo kigumu (kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume.
MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA
Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.
Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza kama una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie kama kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk
•Dr.anaweza kujiridhisha zaid kama mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵
- ULTRASOUND
- CT SCAN
- MRI
Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha kama mtu ana ngiri ama hana.
ANGALIZO
• Hospital ngiri inafahamika
kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza
ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule
uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.
• Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.
• Hospital hakuna Uwezo wa
Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj
kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.
• Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa Recurrent Hernia,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa Recurrent hernia.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.
• Hivyo basi,Upasuaji wa
ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa
ngiri kurejea.
msoo ni nini?
ReplyDeleteMsoo ndy mti gani tunaomba na picha
ReplyDeleteHizi dawa za asili ni kweli?
ReplyDeleteNi kwel kabsa na ukitaka kuamin nitafute kwa namba zangu hapo juu utaamin na utakutana na watu ambao wametibiwa kupitia dawa hizo
Deletedawa iyo ni shingap?
DeleteMadaktar wanasema hakuna DAWA ya ngiri kwa watu wazima zaidi ya upasuaji nikeli au siyo kweli
ReplyDeleteSio kwel kwani watu wengi sana tunawatibu tatzo hilo
DeleteUkitaka kuamini nitafute WhatsApp kwa namba hii 0764516995
Hospital magonjwa mengi sana tofauti na ngiri hayatibiki pia lakin ngiri inatibika kabsa hata kama ni ngiri maji inatibika bila upasuaji
Nina shd chin ya kitovu yan tumbo hunguruma muda wrote nile nisile linanguruma linanifanya nasikia vibaya mpk nasikia kizunguzungu pia hali hiyo ilishanifanya nikaanguka na kupotez faham na huwa inanitokea nisikiapo haja kubwa hunibana na kuniangusha mwili pia hukosa nguvu kama vile najisikia maleria sijisikii hata hamu ya kula chakula nikipata choose kidogo au kingi ndio nafuu yang kama sijapata najisikia kizunguzungu SNA mpk nikae mahali kwa muda ndio nipate nafuu naomb msaada n muda mrefu sna Nina tatz hilo yapata zaid ya 30 mm nina miaka 53 sasa
DeleteJe, Kuvimba kwa korodani ni ngiri?... Na Hizo dawa zinaweza tibu ?
ReplyDeleteNdio dawa hutibu kwa kuimarisha udhaifu uliotokea na kupelekea uvimbe
DeleteDawa ni kiasi gani na inapatikanaje?
ReplyDeleteJe ngiri inayovuta kolodani (pumb3)inaweza kutibika bila upasuaji?pia mizizi ya mti mjohoro ni tiba ya ngiri?
ReplyDeleteUnapatikana mkoa gani ww daktarii
ReplyDeleteDar
DeleteMorogoro
Na mikoan
Morogoro sehem gan na Tiba yake ikoje
DeleteHizo dawa ni za kutuliza tu kwa muda au za kutibu moja kwa moja?
ReplyDeleteNi tiba ya moja kwa moja
DeleteNaomba kupata picha ya huo mti wa msolo Nina mwanangu anateseke Sana ana umri wa miaka 3, korodani huwa zinakaza na Sana nimehangaika Sana
ReplyDelete(Msaada tafadhali) hatulali kabisa akishaanza kuumwa
ReplyDeleteUnaumwa nn
DeleteNiko mombasa dawa hi I naweza Plata wapi
ReplyDeleteBarikiwa sana..
ReplyDeleteNahiitaji
ReplyDeleteKwa kweli mm nko mkoa wa katavi wilaya ya mlele kata ya Inyonga nahisi maumivu upande wa kulia mwa tumbo kama vile linasukuma hali inayopelekea maumivu ya mgongo na kiuno na pumbu moja la kulia limepanda juu kila nkijaribu kama kulikanda lishuke lilingane na lingine nalikuta liko vilee vile na pia Kuna mda nashindwa simama mda mrefu nahisi kama kizungu zungu naomba msaada na pia nikishiriki tendon la ndoa shahawa zinapotoka kwa upande wa pumbu la kulia linavuta Lkn sio sana naomba msaada kwa hilo
ReplyDeleteUnanisaidiaje maan mm nikiogaa tumbo linaumaa pyaa mapumbu huingiaa ndani
ReplyDeleteBado inapatikana?
ReplyDeleteDr. uko wapi Mimi Niko Namanyere sumbawanga Nina ngiri ya muda mrefu sana yaani umri wangu ya kuvimba korodani he naweza kupona? maana nimetumia DAWA nyingi sana
ReplyDeleteNdio unaweza kupona
DeleteNitafute kwa nambaa hii 0656198441 kwa msaada zaidi na huduma
Hyo dawa sh ngap??na dar unapatikana wap napata maumivu makali sana ya kiuno huja na kuondoka
ReplyDeleteNa Mimi kifua pamoja na mgongo vinanisunbua dar upo sehemu gani!
ReplyDelete