BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)

BAWASIRI,AINA ZAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE,CHANZO CHAKE NA TIBA ASILI (KUOTA KINYAMA,MIWASHO ,DAMU SEHEMU YA HAJA KUBWA)



Dr.Mapande
+255656198441
thabitsayd@gmail.com

BAWASIRI NI NINI?
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

 Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

   DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI
1.📎kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.📎kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.📎kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.📎kupata kinyesi chenye damu
5.📎kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6.📎 Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

AINA ZA BAWASIRI⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵:
1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.
2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵:
1. HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.
2. HATUA YA PILI 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia
3.HATUA YA TATU 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda 
4. HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🖇️ Ujauzito
3.🖇️ Unywaji pombe
4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu
5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuwa na acid mwingi tumboni
7.🖇️ Kula sana nyama nyekundu
8.🖇️ Presha ya kupanda
9.🖇️ Kula sana pilipili
10.🖇️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11.🖇️ Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.🖇️ Kuharisha kupita kiasi.
13.🖇️ Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

MADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI
1.📎Upungufu wa damu mwilini
2.📎Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 
3.📎kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.📎kupungukiwa nguvu za kiume
5.📎kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.📎Kupata tatizo la kisaikolojia 
7.📎Kutopata ujauzito
8.📎 Mimba kuharibika
10.📎 Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11.📎 Mwili kudhoofika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
1.📎Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 
2.📎kunywa maji mengi lita 2.5 hadi 3 kwa siku
3.📎Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
4.📎Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
5.📎 Acha kunywa pombe
6.📎Punguza kula nyama nyekundu
7.📎Punguza matumizi ya pili pili.
8.📎Jitibie vidonda vya tumbo
9.📎 Jitibie Ngiri
10.📎 Dhibiti uzito wako
11.📎 Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

MATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI
Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri:
1.📎 MATIBABU YA KISASA
-Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo ( minor surgery) kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaj wa tatzo hili tatizo hujirudia kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena.Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili,hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo ( Colorectal Cancer).

2.📎 MATIBABU KWA NJIA ASILI
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa.Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila kufanya upasuaji na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahid kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri. Zipo dawa asili nyingi na nzur sana katika kutibu Bawasiri, mfano wa dawa hizo ni Bawasiri Fluid na Bawasiri powder,dawa hizi zina ufanisi mkubwa katika kutibu Bawasiri endapo Mgonjwa atazingatia maelekezo.

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli:
Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:

1.📎 Kutopata dawa sahihi 
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.

2.📎 Kutofuata ushaur wa daktari.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatzo lako ni ngumu kupona tatzo lako.

3.📎 Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume 
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana sehemu ngumu.
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa kama Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo kama vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu

Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa daktar.

Ukizingatia hayo utapona Bawasiri kwa muda mfupi sana(week 1 mpaka 3) Biidhnillaah japo wapo wanaopona kwa siku 5 licha ya kukaa na Bawasiri kwa miaka kadhaa .


Dr.Mapande
+255656198441
thabitsayd@gmail.com


Comments

  1. Ahsante sana kwa kutuelimisha ALLAH S.W ATAKULIPA FUNGU LAKO INSHAALLAHU TAALA

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...ahsante sana kwa elimuyako ALLAH akuzidishie kila la kheri INSHAALLAH. lkn ningelipenda kujua kama unaofisi

    ReplyDelete
  3. 🔥 BAWASIRI FLUID🔥
    ▶ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani:⤵

    ▶ Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
    ▶ Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri.
    ▶ Huondosha uvimbe utokanao na bawasiri.
    ▶ Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani Thrombosed Hemorrhoid

    Dawa hii inapatikana katika ujazo wa robo lita yaani mililita 250 (250 mls).Ambayo ni doze kamili.
    Ni dawa yakupakaa.

    ▶Asilimia 100 (100%) ya wateja wote wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

    NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji lakin bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena.

    Kwa mahitaji ya dawa wasiliana namimi:⤵

    Dr.Abuu barmak(Thaabit Said)
    Email:thabitsayd@gmail.com

    Call/Whatsap: 0656 198441/0764 516995.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nitafute kwa namba hii 0764516995 ama 0656198441 kwa maelekezo ya MATIBABU

      Delete
    2. WhatsApp +255 679 282 874 kwa matibabu sahihi ya tatizo lako na kupata kitabu cha ijue afya yako karibu saana

      Delete
  4. Karibun sana kwa MATIBABU ya tatizo hilo Kwa muda mfupi sana ndani ya wiki moja hadi mbili usijaribu kufanya upasuaji wa bawasiri kwani ni hatar na huongeza uwezekano wa tatzo hilo kutokea Mara dufu,wapo ambao tushawatibu baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa bawasiri Mara saba

    ReplyDelete
  5. Ahsante sana kwa kutuelimisha NA ALLAH AKUBARIKI

    ReplyDelete
  6. Unapatikana wapi, nahitaji hiyo dawa

    ReplyDelete
  7. Replies
    1. Tunapatikana Dar Es salaam ilala

      Mawasiliano
      +255656198441
      +255764516995

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI