UJUE MLONGE (Moringa elerifera) NA FAIDA ZAKE
[4/20, 21:01] thabitsayd: Mmea huoππ»ππ»kwa kiswahili hujulikana kwa jina la mlonge au mlonge longe
✍ ni mmea ambao unastawi vizuri sana katka maeneo ya jotojoto yaan tropical regions
✍✍ mmea huu hustawi sana katka maeneo ya pwani hasa katka ukanda wa bahari ya Hindi
✍✍ mmea huu hustawi katika maeneo yenye mwinuko wa kuanzia mita 0-500 meters.
✍✍ mlonge ni mmea ambao una asili ya sehemu za sub Himalaya kaskazini magharibi mwa nchi ya India
✍✍ ni mmea ambao unasemekana kuwa na faida zaidi za kiafya kuliko mimea mingine ambao hutumika kama dawa kwa wanadamu na chakula kwa wanadamu na wanyama
✍✍ kiingereza mmea huu hujulikana kama moringa tree
✍✍ kisayansi katika elimu ya mimea yaani botany mmea huu unajulikana kama ifuatavyo
✍common name: moringa tree
✍ scientific name: moringa oleifera (moringa spp)
✍ family :moringaceae
Mmea huu una matunda yenye mbegu,,,,
✍✍ jiandae kujua faida za kiafya zinazofungamana na mmea huu muhimu πππ
[4/20, 21:01] thabitsayd: ✍✍Sifa za mlonge(kabla hatujaangaza faida zake kwa kina)
MLONGE UNA:
✍Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe
✍Una vitamini C mara 7 zaidi ya ile ipatikanvayo katika machungwa
=>Potasiamu mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi
=>Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
=>Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
=>Una Klorofili (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
=>Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
=>Una vitamini A mpaka Z,
=>Una Omega 3, 6, na 9
=>Una asidi amino zile mhimu zaidi zinazohitajika na mwili
=>Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini mhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla..✍
✍✍ hzo ni baadhi tu
[4/20, 21:01] thabitsayd: ππ»πmwendelezo katika sifa za mlonge;π
✍✍Mlonge una jumla ya virutubishi 92, mmea au mti mwingine wenye virutubishi vingi baada ya mlonge una virutubishi 28. Mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino mhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
==>>πUnga wa majani ya mlonge unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
1. Huko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu Kisukari
2. Huko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Unasafisha ini (hepatic detoxification),
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoa doa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu,
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,
47. Unatibu homa ya manjano (jaundice),
48. Unatibu malaria
49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo
50. Unasidia pia kujenga na kuimarisha misuli
51. Unatibu magonjwa ya mifupa
✍✍Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele. Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.
✍✍Majani ya mti wa mlonge pia yanaweza kutumika kutengeneza biogas (aina ya nishati ya umeme inayotokana na kinyesi cha ng’ombe au takataka). Hutumika pia kama chakula cha wanyama kama sungura, mbuzi, ng’ombe, mbwa nk. Sungura wanaonekana kupenda zaidi mlonge kuliko wanyama wote.✍✍✍
✍✍ je ni zipi faida za mlonge kuanzia mizizi,magome,mbegu za mlonge,majani,maua na mti wote kwa ujumla..
✍✍ usikubali kutoka kindini kwani mengi yatakupita ndugu yangu✍✍
ππ
[4/20, 21:01] thabitsayd: (a) ✍✍MBEGU ZA MLONGE(moringa seeds)
1. Mbegu zake hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu. Mbegu hizi hukaangwa kidogo, hupondwapondwa na kuchanganywa na mafuta ya nazi na kupakwa sehemu yenye tatizo.
2. Mbegu za mlonge zilizokaangwa na mafuta yake husaidia watu wanaoshindwa kuzalisha mkojo.
3. Mbegu zake hutumika pia kumtuliza au kumfanya mtu mwenye kifafa a-‘relax’.
4. Mbegu za mti wa Mlonge ni kinga dhidi ya vijidudu (bacteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi ikiwemo fangasi.
5. Pia mbegu hutumika katika kusafisha au kuchuja maji ambapo zikipondwa na kuwekwa kwenye maji yenye tope au machafu husababisha uchafu kujikusanya na kuzama chini kisha kuacha maji yakiwa safi na salama kwa kupikia au kunywa badala ya kuchemsha.
6. Mbegu za mlonge pia huongeza kwa kiasi kingi kinga ya mwili (CD4), Kama una tatizo la kinga ya mwili wako kushuka basi tumia mbegu za mlonge kwa mwezi mmoja mpaka mitatu na kinga yako itaimarika sana.
ππΏππΏ=>>Chukuwa punje 3 na uzimenye ganda lake la juu na utafune mbegu ile ya ndani yote hizo tatu na ukimaliza kuzitafuna kunywa maji ya kawaida siyo ya kwenye friji glasi 2 (nusu lita), fanya hivi kutwa mara tatu.✍
Nukta hii haimaanishi kwamba faida zimeisha.
✍πππ

Comments
Post a Comment