CHANGO LA UZAZI NA TIBA YAKE.
FAHAMU KUHUSIANA NA CHANGO LA UZAZI.


PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com



Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa
ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya
tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa
mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja
ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke)
kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZAKE KWA MWANAUME:
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA(isiyo komaa)

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1.Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2.Kupiga mingurumo tumboni.
3.Kujaa gesi tumboni.
4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5.Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7.Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8.Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9.Nuru ya macho hupotea taratibu.
10.Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11.Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12.Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13.Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14.Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto

DALILI ZA NGIRI HERNIA SUGU( iliyo komaa)

Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.

1.kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
2.kuvimba   Juu ya kinena kushoto au kulia
3.kufanyiwa UPASUAJI wa  herbia mara 1
4.Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
5.kunde( pumbu) kupotea zote au moja
6.Ngiri maji – Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)
Kenda kujaa maji (BUSHA)
7.Ngiri kavu (Hernia) – hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume
Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wwnye kujaa kama nyama
8.Uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani unaojulikana kitaalamu kama Direct Scoratal inguinal Hernia.
9.Uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.
10.Na pindi ukikubali kurudi ndani ndipo unapoitwa Reduible direct scrotal inguinal hernia.
11.Na pia endapo utashindikana kurudi tumboni ndipo unapoitwa Irreduible direct scrotal inguinal hernia.
12.Maumivu/Kusikia



MWANAMKE MWENYE CHANGO LA UZAZI ANA DALILI ZIFUATAZO :-

Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia Katika siku zake za hedhi

Kuhisi maumivu makali wakati wa
kushiriki tendo la ndoa

Siku zake za hedhi hazitakuwa na
ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika

Hujisikia homa kali
anapokaribia siku zake za dhedhi

Kupatwa hasirakali/
jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za
uke.

Kuchukia kushiriki tendo la ndoa

Kupata uvimbe
kwenye kizazi

Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

MADHARA YAKE KWA MWANAMKE

Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba

Mwanaamke
anaweza kuwa tasa kabisa

Kuingia na kutoka Kwa mimba

Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni

Kuwa na uke mdogo sana

MADHARA KWA MWANAUME

Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba

Kiwango
kinachozalishwa cha megu ni kidogo mno

Kuwa na kiwewe
cha kushiriki tendo la ndoa

Kusimama na kusinyaa kwa
uume

TIBA YA CHANGO LA UZAZI

Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.

Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za
hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na
miti shamba.

~PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI