CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI


                 Fig1; Uzazi & Chango Powder


Dr.Mapande 
Tiba asili
Tanzania🇹🇿

+255764516995
+255656198441
thabitsayd@gmail.com

⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵

1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).
2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.
4⃣Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.
5⃣Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
6⃣Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
7⃣ Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
8️⃣ Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
9️⃣ Kupata uvimbe kwenye kizazi
🔟Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
1⃣1⃣ Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.
1⃣2⃣Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.


MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE

➡️Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.
➡️Kuingia na kutoka kwa mimba
➡️Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.
➡️Kuwa na uke mdogo sana.
➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi.
➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.



TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.

zipo dawa za asili zinazoaminika kutibu matatizo ya Chango na uzazi kama vile dawa iitwayo UZAZI & CHANGO POWDER ni dawa ambayo hutibu changamoto za uzazi na chango zifuatazo⤵⤵

UZAZI & CHANGO POWDER
➡️Ni dawa maalumu inayotokana na mchanganyiko wa miti dawa mbali mbali maalumu kwaajili ya kutatua changamoto na matatizo yanayopelekea mwanamke kushindwa kupata ujauzito,Dawa hii hufanyakazi zifuatazo⤵⤵⤵⤵⤵

⚫ Hutibu chango sugu linaloweza kusababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito.
⚫ Hurekebisha mzunguko/siku za mwanamke na kuzifanya ziwe katika mpangilio wa sawa.
⚫ Huweka sawa mfumo wa hormone.
⚫ Huondosha maumivu makali wakati wa hedhi
⚫ Huondosha sababu zinazopelekea mimba kutoka/kuporomoka 
⚫ Huzibua mirija ya uzazi(follopian tubes)
⚫ Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.
⚫ Hupevusha mayai ambayo hushindwa kupevuka.


Huna tena sababu ya kuteseka wala kuhangaika tena huku na kule kutokana na Matatizo ya uzazi, UZAZI & CHANGO POWDER 
Ni suluhisho kwa Matatizo hayo Biidhnillaah.


Dr.Mapande 
Tiba asili
Tanzania🇹🇿

+255764516995
+255656198441
thabitsayd@gmail.com

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)