BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)
BAWASIRI,AINA ZAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE,CHANZO CHAKE NA TIBA ASILI (KUOTA KINYAMA,MIWASHO ,DAMU SEHEMU YA HAJA KUBWA)
PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com
BAWASIRI NI NINI?
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu
DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI
1.
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa2.
kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa3.
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa4.
kupata kinyesi chenye damu
kupata kinyesi chenye damu5.
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia6.
Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbayaAINA ZA BAWASIRI
. BAWASIRI YA NJE
.BAWASIRI YA NDANI

-Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵:
. BAWASIRI YA NJENi kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.
.BAWASIRI YA NDANINi kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵:
1. HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.
2. HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia
3.HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda
4. HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.
VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.
Uzito kupita kiasi(Overweight)
Uzito kupita kiasi(Overweight)2.
Ujauzito
Ujauzito3.
Unywaji pombe
Unywaji pombe4.
Kukaa sana sehemu ngumu
Kukaa sana sehemu ngumu5.
Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.6.
Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuwa na acid mwingi tumboni
7.
Kula sana nyama nyekundu
Kula sana nyama nyekundu8.
Presha ya kupanda
Presha ya kupanda9.
Kula sana pilipili
Kula sana pilipili10.
Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)11.
Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa12.
Kuharisha kupita kiasi.
Kuharisha kupita kiasi.13.
Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito
Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizitoMADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI
1.
Upungufu wa damu mwilini
Upungufu wa damu mwilini2.
Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 3.
kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa4.
kupungukiwa nguvu za kiume
kupungukiwa nguvu za kiume5.
kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu6.
Kupata tatizo la kisaikolojia
Kupata tatizo la kisaikolojia 7.
Kutopata ujauzito
Kutopata ujauzito8.
Mimba kuharibika
Mimba kuharibika10.
Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)11.
Mwili kudhoofika
Mwili kudhoofikaNJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
1.
Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 2.
kunywa maji mengi lita 2.5 hadi 3 kwa siku
kunywa maji mengi lita 2.5 hadi 3 kwa siku3.
Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)4.
Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.5.
Acha kunywa pombe
Acha kunywa pombe6.
Punguza kula nyama nyekundu
Punguza kula nyama nyekundu7.
Punguza matumizi ya pili pili.
Punguza matumizi ya pili pili.8.
Jitibie vidonda vya tumbo
Jitibie vidonda vya tumbo9.
Jitibie Ngiri
Jitibie Ngiri10.
Dhibiti uzito wako
Dhibiti uzito wako11.
Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa maraMATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI
Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri:
1.
MATIBABU YA KISASA
MATIBABU YA KISASA-Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo ( minor surgery) kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaj wa tatzo hili tatizo hujirudia kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena.Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili,hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo ( Colorectal Cancer).
2.
MATIBABU KWA NJIA ASILI
MATIBABU KWA NJIA ASILI-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa.Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila kufanya upasuaji na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahid kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri. Zipo dawa asili nyingi na nzur sana katika kutibu Bawasiri, mfano wa dawa hizo ni Bawasiri Fluid na Bawasiri powder,dawa hizi zina ufanisi mkubwa katika kutibu Bawasiri endapo Mgonjwa atazingatia maelekezo.
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli:
Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:
1.📎 Kutopata dawa sahihi
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.
2.📎 Kutofuata ushaur wa daktari.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatzo lako ni ngumu kupona tatzo lako.
3.📎 Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana sehemu ngumu.
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa kama Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo kama vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu
Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa daktar.
⚫ Ukizingatia hayo utapona Bawasiri kwa muda mfupi sana(week 1 mpaka 3) Biidhnillaah japo wapo wanaopona kwa siku 5 licha ya kukaa na Bawasiri kwa miaka kadhaa .
PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com

Ahsante sana kwa kutuelimisha ALLAH S.W ATAKULIPA FUNGU LAKO INSHAALLAHU TAALA
ReplyDeleteEnter your comment...ahsante sana kwa elimuyako ALLAH akuzidishie kila la kheri INSHAALLAH. lkn ningelipenda kujua kama unaofisi
ReplyDeleteIn Shaa Allah
ReplyDelete🔥 BAWASIRI FLUID🔥
ReplyDelete▶ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani:⤵
▶ Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
▶ Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri.
▶ Huondosha uvimbe utokanao na bawasiri.
▶ Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani Thrombosed Hemorrhoid
Dawa hii inapatikana katika ujazo wa robo lita yaani mililita 250 (250 mls).Ambayo ni doze kamili.
Ni dawa yakupakaa.
▶Asilimia 100 (100%) ya wateja wote wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji lakin bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena.
Kwa mahitaji ya dawa wasiliana namimi:⤵
Dr.Abuu barmak(Thaabit Said)
Email:thabitsayd@gmail.com
Call/Whatsap: 0656 198441/0764 516995.
nataka tuonane nina tatizo
DeleteBei gani ndugu?
DeleteNitafute kwa namba hii 0764516995 ama 0656198441 kwa maelekezo ya MATIBABU
DeleteWhatsApp +255 679 282 874 kwa matibabu sahihi ya tatizo lako na kupata kitabu cha ijue afya yako karibu saana
DeleteNitafute kwa namba hizo
ReplyDeleteAsante kwa elimu nzuri
ReplyDeleteKaribun sana kwa MATIBABU ya tatizo hilo Kwa muda mfupi sana ndani ya wiki moja hadi mbili usijaribu kufanya upasuaji wa bawasiri kwani ni hatar na huongeza uwezekano wa tatzo hilo kutokea Mara dufu,wapo ambao tushawatibu baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa bawasiri Mara saba
ReplyDeleteAhsante sana kwa kutuelimisha NA ALLAH AKUBARIKI
ReplyDeleteAllaahumma aameen
DeleteUnaptkana wapi mkuu
ReplyDeleteUnapatikana wapi, nahitaji hiyo dawa
ReplyDeleteNjoo Whatsap kwa namba hii 0764516995
DeleteNaipataje iyo dawa
ReplyDeleteMnapatikana wap
ReplyDeleteTunapatikana Dar Es salaam ilala
DeleteMawasiliano
+255656198441
+255764516995