KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA /DAWA ASILI YA KUTIBU KIFAFA
KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA YA KIFAFA Fig1:Dawa ya kutibu kifafa(Kifafa Powder ) Kifafa ni hali ambayo inatokea katika ubongo ambako seli mbalimbali za neva(neurons) hutoa ishara taarifa tofauti na kawaida.Kwa kawaida neva hufanya kazi ya kutoa mawimbi (electrochemical impulses) ambayo hutua kwenye neva nyingine,misuli na viungo viungo, na kuzalisha mawazo, hisia, na vitendo. ▶Wakati wa kifafa, mtiririko huu wa shughuli za neva hutibuka, na kuleta taarifa/hisia ngeni, na tabia , au wakati mwingine maungo kutingishika/misuli kutingishika na kupelekea kupoteza fahamu. ▶ Mtu anaposhikwa na kifafa,neva zake za mwili huweza kutema taarifa hadi mara 500 kwa sekunde moja, mara dufu kuliko hali ya kawaida. Kwa wengine hali hii hutokea kwa nadra, lakini wengine hutokea zaidi ya mara 100 kwa siku. KUMBUKA ▶Kifafa hakiambukizi na hakisababishwi na ugonjwa wa akili/ mtindio wa ubongo. Kuna watu wenye mtindio wa ubongo walio na kifafa, lakini kifafa hakimaanishi kuwa