KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA /DAWA ASILI YA KUTIBU KIFAFA
KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA YA KIFAFA
▶Wakati wa kifafa, mtiririko huu wa shughuli za neva hutibuka, na kuleta taarifa/hisia ngeni, na tabia , au wakati mwingine maungo kutingishika/misuli kutingishika na kupelekea kupoteza fahamu.
▶ Mtu anaposhikwa na kifafa,neva zake za mwili huweza kutema taarifa hadi mara 500 kwa sekunde moja, mara dufu kuliko hali ya kawaida. Kwa wengine hali hii hutokea kwa nadra, lakini wengine hutokea zaidi ya mara 100 kwa siku.
KUMBUKA
▶Kifafa hakiambukizi na hakisababishwi na ugonjwa wa akili/ mtindio wa ubongo. Kuna watu wenye mtindio wa ubongo walio na kifafa, lakini kifafa hakimaanishi kuwa utapata matatizo ya akili. Watu wengi wenye kifafa wana akili za kawaida na wengine wana akili za ziada.
▶Watu maarufu waliosemekana kuwa na kifafa ni pamoja na⤵
1). Mwandishi wa Urusi Dostoyevsky
2). Mwana falsafa maarufu duniani Socrates
3). Mwanajeshi mahiri Napoleon.
4). Mgunduzi wa baruti, Alfred Nobel
5). Mwanzilishi wa Nobel Prize.
6).Baadhi ya wana-olympiki mashuhuri na wanariadha walikuwa na kifafa.
▶ Mara nyingine kifafa huathiri akili, hasa pale kinapokuwa cha nguvu. Lakini kifafa cha kawaida hakijathibitishwa kuleta madhara kwenye ubongo.
DALILI ZA KIFAFA
Baadhi ya dalili zikiwa ni pamoja na:⤵
▶Kuchanganyikiwa kwa muda
▶Kuduwaa/Kuzubaa kwa muda
▶Kutupa mikono na miguu ovyo
▶Kupoteza fahamu
▶Athari za kiakili kama woga na wasiwasi
▶ Mwili kutetemeka na kutoa udenda/povu mdomoni.
AINA ZA KIFAFA
1.Focal Seizures
Ni aina ya kifafa ambacho kinatokea kutokana na dosari katika eneo moja la ubongo, tatizo hili huitwa focal (partial) seizure.
▶Aina hii imegawanyika katika aina ndogo kuu mbili nazo ni⤵:
(a). Focal seizures without loss of consciousness.
▶ Kifafa hiki hakimpelekei mtu kupoteza fahamu pindi kimtokeapo.
▶ Kinaweza kubadilisha hisia/ kubadili mwonekano, harufu, ladha au sauti ya vitu. Kinaweza kusababisha kiungo cha mwili kucheza chenyewe, kama mkono / mguu, na dalili nyingine za pamoja za vitu kuchoma mwilini, kizunguzungu na vitu kuangaza.
(b). Focal seizures with impaired awareness.
▶Kifafa hiki huambatana na mabadiliko au kupoteza ufahamu. Unaweza kuduwaa na kukosa mwitiko wa vitu vya kwenye mazingira au kufanya miondoko ya kujirudiarudia kama kusugua mikono, kutafuna, kumeza au kutembea ukilizunguka eneo moja.
2.Generalized seizures
Ni kifafa kinachotokea kikihusisha maeneo yote ya ubongo huitwa generalized seizure. Kuna aina ndogo sita za kifafa cha aina hii nazo ni kama ifuatavyo:⤵
(a). Absence seizures.
▶Kifafa hiki huonekana zaidi kwa watoto na kinatambulika kwa kuduwaa na miondoko ya mwili isiyo ya kawaida kama macho kukonyeza au kulamba midomo.
(b). Tonic seizures.
▶Kifafa hiki husababisha kukakamaa kwa misuli. Kifafa hiki kwa kawaida huathiri misuli ya mgongoni, mikono na miguu na huweza kusababisha uanguke ardhini.
(c). Atonic seizures.
▶Kifafa hiki hukusababishia ukose udhibiti wa misuli hali ambayo huweza kukufanya uzirai au uanguke.
(d). Clonic seizures.
▶Hii huamabatana na kucheza kwa misuli kunakojirudiarudia kwa mpango.
(f). Myoclonic seizures.
▶ Hii hujitokeza kwa kucheza kwa misuli ya mikono na miguu kwa ghafla na kwa muda mfupi.
(f). Tonic-clonic seizures.
▶ Kifafa hiki ndicho kinachoweza kukufanya kupoteza fahamu ghafla, kukakamaa kwa mwili na kutetemeka, na wakati mwingine kujikojolea au kung’ata ulimi.
SABABU ZA KIFAFA
▶Kifafa ni tatizo linaloweza kuwa na vyanzo vingi. Kitu cho chote kitakachovuruga mtiririko wa kawaida wa ufanyaji kazi wa neuron kuanzia ugonjwa, uharibifu wa ubongo hadi dosari katika ukuaji wa ubongo kinaweza kusababisha kifafa.
▶Kifafa kinaweza kutokea kwa sababu ya dosari za usokotwaji wa ubongo, kutokuwepo uwiano baina ya kemikali ziitwazo neurotransmitters, au mchanganyiko wa haya mawili. Wanasayansi wanaamini kuwa baadhi ya watu wenye kifafa wana viwango vikubwa sana vya excitatory neurotransmitters ambacho huongeza shughuli za neurons, wakati wengine wana viwango vidogo mno vya inhibitory neurotransmitters ambazo hupunguza shughuli za neurons kwenye ubongo. Hali hizi zote zinaweza kusababisha kuongezeka kwa shughuli za neurons na kusababisha kifa
▶Sababu za kiurithi. Kifafa ambacho kinajitambulisha kwa jinsi kinavyotokea, au kwa eneo la ubongo linaloathirika, huonekana kwenye familia fulani. kwa jinsi hiyo, kinaonekana kuwa ni cha urithi.
▶Kuumia Kwa Kichwa. Kuumia kichwa kama kwa ajali ya gari au ajali nyingine kunaweza kusababisha kifafa.
▶Hali ya ubongo. Vitu vinavyoweza kuleta madhara kwenye ubongo, kama uvimbe ndani ya ubongo au kiharusi, vinaweza kisababisha kifafa. Kiharusi kinaongoza kama chanzo cha kifafa kwa watu wazimu wa umri wa zaidi ya miaka 35.
▶Magonjwa ya kuambukiza. Magonjwa ya kuambikiza kama meningitis, UKIMWI na viral encephalitis, yanaweza kusababisha kifafa.
▶Kuumia kabla ya kuzaliwa. Kabala ya kuzaliwa, watoto huweza kuumia ubongo kwa sbabau kama ya maambukizi kutoka kwa mama, lishe duni au kukosa oksijeni ya kutosha.. Kuumia huku kwa ubongo kunaweza kusababisha kifafa.
▶Pamoja na hatari nyingine nyingi zinazoweza kumpata mtu mwenye kifafa, yafuatayo yaweza pia yakatokea
🔄Status epilepticus. Ni hali ambayo inamwathiri mtu ambaye anashikwa na kifafa mara kwa mara na kwa muda mrefu unazidi dakika tano au kama anashikwa na kifafa mara nyingi bila kupata ufahamu kamili katikati. Watu wenye hali hii wana yamkini kubwa ya kupata madhara ya kudumu kwenye ubongo au kufariki.
🔄Sudden unexpected death in epilepsy (SUDEP). Watu wenye kifafa mara chache wanakuwa kwenye hatari ya kufa ghafla. Kiujumla, asilimia 1 ya watu wenye kifafa hufa kwa SUDEP.
KUMSAIDIA MTU ALIYEPATWA NA KIFAFA
▶Mgeuze mwathirika alale kiubavu ili asizibwe pumzi na matapishi au maji maji mengine
▶Weka kitu laini chini ya kichwa chake (kama mto)
▶Legeza nguo na vitu vingine vinavyombana mwilini au shingoni
▶Acha eneo la wazi kumzunguka ili apate hea ya kutosha
▶Usimzuie kutembea labda tu kukiwa na hatari mbele yake
▶Usiweke chochote kinywani mwake, hata dawa au maji. Vitu hivi vyaweza kumleta madhara ya kuziba pumzi, au kujiuumiza taya, ulimi, meno.
▶Ondoa vitu vyote vyenye ncha kali ambavyo mwathirika anaweza kuviangukia aliwa ameshikwa na kifafa
▶Kaa na mwathirika hadi arudiwe na fahamu
MATIBABU YA KIFAFA
1.MATIBABU YA KISASA
▶ Kifafa ni miongoni mwa magonjwa ambayo hayana Tiba katika dawa za kizungu,ama hospital hufanya upasuaji wa kwenye ubongo kwaajili ya kurekebisha Neva na matibabu haya ni hatari na yanagharimu pesa nyingi sana kwa mtu wa kawaida kumudu.
2. TIBA MBADALA/TIBA ASILIA.
▶Katika Tiba mbadala,ugonjwa wakifafa unatibika kupitia Tiba asili kwa asilimia 100 kwa uwezo wa Allah na wapo wengi waliopona kifafa kupitia Tiba hizi.Ingawa matapeli wamekuwa wengi lakini katika Tiba asili zipo dawa ambazo zinatibu tatizo hili.
Zipo dawa zenye uwezo mkubwa wa kutibu kifafa mfano wa dawa hizo ni dawa iitwayo KIFAFA POWDER nk,ambazo huweza kutibu kifafa na degedege kwa muda wa mwezi mmoja.
Dr.Mapande
Fig1:Dawa ya kutibu kifafa(Kifafa Powder)
Kifafa ni hali ambayo inatokea katika ubongo ambako seli mbalimbali za neva(neurons) hutoa ishara taarifa tofauti na kawaida.Kwa kawaida neva hufanya kazi ya kutoa mawimbi (electrochemical impulses) ambayo hutua kwenye neva nyingine,misuli na viungo viungo, na kuzalisha mawazo, hisia, na vitendo.

Tiba Asili
Tanzania.
Call/WhatsApp⤵
+255 764 516995
+255 656 198441
Call/WhatsApp⤵
+255 764 516995
+255 656 198441
Email: thabitsayd@gmail.com
Comments
Post a Comment