Posts

Showing posts from May, 2020

DAWA ASILI YA KUOTESHA NYWELE,MBA KWENYE NYWELE,KUKUZA NYWELE,MICHIEIZI NA MATATIZO YA NGOZI.

Image
KASUDIA EXTRA VIRGIN COCONUT OIL Piga simu: +255715224721 +255742625042 šŸ„„Whatsapp  +255715224721 Barua Pepe: ∆+255715224721 ∆drkasudia@gmail.com  Dr.Kasudia Tiba Asili,Tanzania Fig1: Kasudia Extra Virgin coconut oil ●Ni mafuta halisi ya nazi ambayo hayana nyongeza ya kemikali yoyote hatarishi. ●Hayajachemshwa wala kukutana na joto lenye kupoteza uhalisia wake. Yanatengenezwa katika hali ya ubaridi. ●Kasudia Extra Virgin Oil yametengenezwa kulingana na viwango vya Kimataifa . ●Vimelea visababishi vya magonjwa vimedhibitiwa kipindi cha utengenezwaji na upakiaji wa mafuta. FAIDA ZA KIAFYA ZA KASUDIA EXTRA VIRGIN COCONUT OIL: šŸ„„ Kurudisha nywele zilizonyonyoka. šŸ„„Hutibu matatizo ya Ngozi ( kuungua na harara) šŸ„„Huondoa tatizo la mba kwenye nywele. šŸ„„Hupambana na matatizo fangasi kwenye ngozi. šŸ„„Hutibu vidonda vya ngozi. šŸ„„ Huzuia alama za michirizi kwenye ngozi. Kwahiyo:   Kasudia Exra Virgin Coconut Oil ni suluhisho la ngozi yako na afya yako kwa ujumla. mls 120 Tsh 8000/= ml 250 Tsh 15,

VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO

Image
  VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTICOL POWDER   FIG1 ;DAWA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS) Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk     AINA YA VIDONDA VYA TUMBO. Kuna aina tatu ya vidonda vya tumbo       GASTRIC ULCERS    Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.       ESOPHAGEAL ULCERS Hivi   ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula .        DUODENAL ULCERS Ni vidonda ambavyo katika sehem