VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO
VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA
VIDONDA VYA TUMBO
VIDONDA VYA TUMBO (PEPTICOL POWDER
FIG1;DAWA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO
VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)
Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta
za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na
bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo.
Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila
vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo
linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia
husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.
nk
AINA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Kuna
aina tatu ya vidonda vya tumbo
GASTRIC
ULCERS
Hivi
ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.
ESOPHAGEAL
ULCERS
Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula.
DUODENAL
ULCERS
Ni vidonda ambavyo katika sehemu ya
juu ya utumbo mdogo uitwao duodenum
FIG2;PEPTIC ULCERS
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;
- Ø Bakteria
waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
- Ø Matumizi
ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin(bayer), (NSAIDs),
(Advil, Aleve, na zingine)
- Ø Msongo
mawazo (stress)
- Ø Kula
vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
- Ø Kunywa
pombe na vinywaji vikali kupitiliza.
- Ø Uvutaji
wa sigara.
- Ø Kuto
kula mlo kwa mpangilio maalumu
- Ø Kansa
ya tumbo
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula
au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza
tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili kama;
- Ø Kupata
maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
- Ø Kupatwa
na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
- Ø Tumbo
kujaa gesi na kuvimbiwa
- Ø Kichefuchefu
na kutapika tena yawezekana kutapika damu
- Ø Kupata
haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja
yaweza kuchanganyikana na damu
- Ø Kupoteza
hamu ya kula na kupungua uzito
- Ø Kushindwa
kupumua vizuri
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
- Ø Kunywa
maji mengi
- Ø Punguza
mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
- Ø Punguza
(balance) kiwango cha lehemu (choresterol) mwilini
- Ø Usivute
sigara
- Ø Punguza
au acha kunywa pombe
- Ø Kula
vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
- Ø Lala
vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na
mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya
tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.
MATIBABU
Kwa matatizo ya vidonda
vya tumbo,watu wengi wamekuwa hakihangaika sana kupata matibabu sahihi na
badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza matatizo ya vidonda vya tumbo
na si kutibu tatizo moja kwa moja.
Zipo dawa asili ambazo
hutibu matatizo ya vidonda vya tumbo kwa haraka sana na tiba ya kudumu,mfano
kuna dawa ya asili iitwayo PEPTICOL POWDER,dawa hii hutibu kwa haraka sana matatizo ya vidonda vya tumbo.
Kwa mahitaji ya dawa ya kutibu
matatizo ya vidonda vya tumbo kwa haraka na kudumu,wasiliana nami kwa;
Dr.Mapande
Tiba asili, Tanzania
Whatsap; +255 764 516 995
Calls; +255 656 198 441/+255 764 516 995
Email; thabitsayd@gmail.com
Hongera sana mkuu
ReplyDelete