Posts

Showing posts from June, 2020

MAGONJWA YA MOYO,SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA,DALILI,CHANZO CHAKE NA TIBA/DAWA ASILI.

Image
MAGONJWA YA MOYO Cardiovascular diseases (CVDs) ▶Ni kundi la Matatizo ya moyo pamoja na mishipa ya damu. AINA YA MATATIZO YA MOYO   1⃣ Coronary Heart disease. -Ni Ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo inasamabaza damu kwenye misuli ya moyo. 2⃣ Cerebrovascular disease -Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambazia damu Ubongo. 3⃣ Peripheral Arterial Disease -Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambaza kwenye mikono na miguu. 4⃣ Rheumatic heart Disease. - Ni kuharibika kwa misuli ya moyo na Valvu kutokana na homa ya Rheumatoid ambayo husababishwa bacteria aina ya Streptococcus 5⃣ Congenital heart Disease -Ni maharibiko ya muundo wa moyo (heart structure) ambayo hutokea wakati wa kujifungua; SABABU ZINAZOPELEKEA MAGONJWA YA MOYO ▶ Uvutaji sigara ▶ Lishe duni. ▶ Pombe ▶ Kutofanya mazoezi ▶ Presha ya kupanda( HTN-Hypertension) ▶ Kisukari (Hyperglycemia) ▶ Uzito uliozidi (High body mass Index,above 25kg/m²)~Obesity NJIA ZA KUEPUKA NA KUTIBIA MATATIZO YA MOYO ▶ Acha kutumia tumbaku(sigara) ▶