MAGONJWA YA MOYO,SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA,DALILI,CHANZO CHAKE NA TIBA/DAWA ASILI.

MAGONJWA YA MOYO





Cardiovascular diseases (CVDs)
▶Ni kundi la Matatizo ya moyo pamoja na mishipa ya damu.


AINA YA MATATIZO YA MOYO
 
1⃣ Coronary Heart disease.
-Ni Ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo inasamabaza damu kwenye misuli ya moyo.

2⃣ Cerebrovascular disease
-Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambazia damu Ubongo.


3⃣ Peripheral Arterial Disease
-Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambaza kwenye mikono na miguu.


4⃣ Rheumatic heart Disease.
- Ni kuharibika kwa misuli ya moyo na Valvu kutokana na homa ya Rheumatoid ambayo husababishwa bacteria aina ya Streptococcus

5⃣ Congenital heart Disease
-Ni maharibiko ya muundo wa moyo (heart structure) ambayo hutokea wakati wa kujifungua;


SABABU ZINAZOPELEKEA MAGONJWA YA MOYO

▶ Uvutaji sigara
▶ Lishe duni.
▶ Pombe
▶ Kutofanya mazoezi
▶ Presha ya kupanda( HTN-Hypertension)
▶ Kisukari (Hyperglycemia)
▶ Uzito uliozidi (High body mass Index,above 25kg/m²)~Obesity


NJIA ZA KUEPUKA NA KUTIBIA MATATIZO YA MOYO

▶ Acha kutumia tumbaku(sigara)
▶ Punguza kiwango cha chumvi kwenye mlo wako.
▶ Kula mbogamboga na matunda kwa wingi.
▶ Fanya mazoezi
▶ Acha kunywa pombe.
▶ Tibu Kisukari.
▶ Tibu presha ya kupanda( Hypertension)
▶ Punguza kiasi cha mafuta mwilini
▶ Epuka kupaka magonjwa ya shambulio la moyo(Heart attack) na Stroke.


*_DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO_*

▶ Shambulio la moyo(Heart attack) na Stroke

Dalili za Shambulio la moyo(Heart Attack)⤵

➡️.Maumivu katikati ya kifua.
➡️ Maumivu kwenye mikono
➡️ Maumivu bega la kushoto
➡️ Maumivu kwenye kiwiko cha mkono wa kushoto
➡️ Maumivu kwenye taya za mdomo
➡️ Maumivu ya Mgongo
➡️ Kupumua kwa shida
➡️ Kutapika
➡️ Kuzimia
➡️ Ngozi kubadilika rangi.

Wanawake Wenye matatzo ya moyo hukumbwa sana na kupumua kwa shida,Kichefuchefu,kutapika,maumivu ya Mgongo na taya.


VIPIMO VIRUMIKAVYO KUPIMA MAGONJWA YA MOYO:

-Vipimo vifuatavyo hutumika kupima na kumuwezesha daktar kujua/kugundua Magonjwa ya moyo:⤵


1⃣ Electrocardiogram (ECG)
-Kipimio hiki hunukuu alama za umeme na kinaweza daktari kugundua kutokuwa sawa kwa mapigo na muundo wa moyo (heart's rhythms & heart structure) na kipimo hiki anaweza kufanyiwa mgonjwa akiwa katika mazoezi ama akiwa amepumzika.


2⃣ Holter monitoring.
-Ni kifaa kinachobebeka ambacho unakivaa kwaajili ya kunukuu alama za umeme zenye kuendelea kwa muda wa Masaa 24 mpaka 72 na hutumika kugundua kutokuwa kwa mapigo ya moyo ambayo hawakuweza kugunduliwa wakati wa kipimo cha *_electrocardiogram_* (ECG).

 

3⃣ Echocardiogram.
-Ni kipimo ambacho kinahusisha kuchukua picha kwa kutumia *ULTRASOUND* kwenye kifua kisha kupata picha zinazojieleza kunako muundo wa moyo (Heart structure) pamoja na jinsi unavyofanyakazi.


4⃣ Stress test.
-Hii ni aina ya kipimo cha magonjwa ya moyo ambapo mapigo ya moyo huopandishwa juu kwa kutumia mazoezi au madawa wakati majaribio yakifanyika kwa kuangalia ni namna gan moyo wako unaitikia mapigo ya moyo ya juu.


5⃣ Cardiac catheterization.
-Katika jaribio hili,huchukuliwa tyubu(tube) kisha huchomekwa katika mshipa wa damu wa *vein*  au *Artery*  wa mguuni au mkononi kwako kisha tyubu nyingine yenye tundu na ndefu huchomekwa kwenye ile tyubu ya awali kisha,kwa msaada wa X-ray,kisha Presha hupimwa katika n
Vyumba vya moyo,hii humsaidia Daktari kujua utembeaji wa damu katika Valves,mishipa ya damu na moyo kama haupo sawa.


6⃣ Cardiac computerized tomography (CT-scan.)
-Mara nyingi kipimo hiki hutumika kuangalia Matatizo ya moyo.


7⃣ Cardiac magnetic resonance imaging (MRI) 


MATIBABU
-Ni vyema kwenda Hospital kwanza kujua tatizo lako na chanzo chake kabla ya kuanza kutumia dawa.

-Ipo mimea yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu Matatizo na magonjwa yote ya moyo kwa ufanisi mkubwa.Mfano zipo dawa zinazotokana na mimea zenye uwezo wa kutibu Matatizo ya Presha na Moyo,Mfano wa dawa hizo ni kama vile dawa iitwayo 
BP POWDER nk.


Kwa Msaada wa kimatibabu na Ushauri zaidi wasiliana nami kwa:⤵  


Contacts

+255 764516995

+255 656 198 441

E-mail: thabitsayd@gmail.com

Dr.Mapande.
Tiba Asili.
Tanzania🇹🇿.

Comments

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)