Posts

Showing posts from July, 2020

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI

Image
CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI                                            Fig1; Uzazi & Chango Powder PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com ⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE ⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵ 1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi). 2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa. 3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zit...