UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI
UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI Fig1: DM POWDER (dawa asili ya kutibu kisukari) KISUKARI (DIABETES MELITUS) •Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~hyperglycemia ) AINA ZA KISUKARI 1️⃣ TYPE 2 DIABETES •Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose). 2️⃣ TYPE 1 DIABETES •Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu. 3️⃣ PRE-DIABETES •Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2. •Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes* VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU 1️⃣ KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar) •Kwa watu wengi Wenye Afy