UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI

 UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI





Fig1: DM POWDER (dawa asili ya kutibu kisukari)


KISUKARI (DIABETES MELITUS)

•Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~hyperglycemia )


AINA ZA KISUKARI

1️⃣ TYPE 2 DIABETES

•Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose).


2️⃣ TYPE 1 DIABETES

•Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu.



3️⃣ PRE-DIABETES

•Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2.

•Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes*


VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU

1️⃣ KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar)

•Kwa watu wengi Wenye Afya nzuri,Kiwango kilicho sawa cha Sukari kwenye damu ni kama vifuatavyo⤵⤵⤵:


➡️ KABLA YA KULA

Sukari huwa Kati ya 4.0 hadi 5.4 mmol/L (72 hadi 99 mg/dL) kabla ya kula.

➡️ MASAA MAWILI BAADA YA KULA

Hufika 7.8 mmol/L (140 mg/dL) Masaa 2 baada ya kula.

2️⃣ KWA WATU WENYE KISUKARI

•Kiwango cha sukari mwilini kwa watu Wenye kisukari huwa kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵:

➡️ KABLA YA KULA

-Sukari hufika 4 hadi 7 mmol/L kwa watu Wenye type 1 au type 2


➡️  MASAA MAWILI BAADA YA KULA

-Sukari huwa chini ya 9 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 1 na huwa chini ya 8.5 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type  2


SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA KISUKARI

⤵️⤵️⤵️

➡️Utumiaji wa vyakula vyenye Sukari kupitiliza

-Husababisha kisukari kwasababau hupelekea mwili kuwa mzito zaidi.

➡️ Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi(kama vile nyama ya ng'ombe,mbuzi,kondoo nk)

➡️ Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi(fats & lipids)

➡️Kutokufanya mazoezi/Uzembe wa mwili.

➡️ Utumiaji wa Vilevi na Sigara.

➡️ Uzito uliopita kiasi

➡️ Presha ya kupanda(Hypertension)

➡️ Sababu za Kurithi.

➡️ Umri mkubwa miaka 45 au zaidi.


DALILI ZA UGONJWA WA SUKARI_⤵️⤵️

➡️ Kupata kiu kila wakati na kupelekea Kunywa maji kupita kiasi.

➡️Kukojoa sana hasa wakati wa usiku(frequent uniration)

➡️Uchovu na mwili kukosa nguvu kila wakati.

➡️Kuchelewa kupona kwa majeraha na vidonda hasa miguuni nk.

➡️Miguu kuoza 

➡️Kupungua kwa nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa

➡️kutokuona vizuri na kupata upofu

➡️Ganzi miguuni na kwenye vidole pamoja na Miguu Kuvimba.

➡️Kupungua uzito na kukonda hata Kama unakula vizuri

➡️ Ngozi kupauka licha ya kupaka mafuta Mara kwa mara


 MADHARA YA UGONJWA WA SUKARI

⤵️⤵️⤵️⤵️

➡️kupata magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)

➡️ Kiharusi au kuparalaizi( Stroke)

➡️ Shinikizo la damu (NHT)

➡️ Figo kufeli kufanyakazi na mawe kwenye figo(Kidney Stones)

➡️ Kupungua kwa nguvu za kiume. na kukosa hamu ya tendo la ndoa

➡️kupata upofu

➡️ Hatari ya kupata Kansa kutokana na Vidonda visivyopona.


🖇️ Kisukari ni ugonjwa wenye kutibika kwa dawa za asili hasa pale utakapobahatika kupata dawa ya uhakika katika kutibu kisukari mfano wa dawa za uhakika zenye kuondosha kabsa kisukari ni dawa ya asili iitwayo DM POWDER


Dr.Mapande

Tiba Asili

Tanzania


+255764516995

+255656198441

thabitsayd@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)