Posts

Showing posts from 2024

SABABU KUU 5 ZINAZOWEZA KUSABABISHA UWE NA TUMBO KUBWA (Abdominal distension)

Image
 SABABU KUU 5 ZINAZOWEZA KUSABABISHA UWE NA TUMBO KUBWA (Abdominal distension) PANDEX HERBAL CLINIC  +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com  DAR ES SALAAM, ILALA ⚫ Zipo sababu kuu 5 zinazoweza kusababisha mtu akaonekana kuwa na tumbo kubwa kama ifuatavyo;⤵️⤵️ 1. 🔗 Tumbo kujaa gesi (Flatus). Watu wengi wamekuwa na matumbo makubwa wakidhani kwamba wana vitambi vinavyotokana na mafuta kumbe matumbo yao yamejaa gesi inayosababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo kukosa choo na kuwa na Acid reflux. 2. 🔗 Tumbo kujaa kinyesi (Faeces). Kwa wale ambao hawapati choo inavyotakiwa (Constipation) hujaa matumbo yao kana kwamba wana vitambi vya mafuta ilihali matumbo yamejaa kinyesi (Mavi) hali ambayo inasababisha waonekane kuwa na matumbo makubwa. 3. 🔗 Mimba (Fetus). Hii ni maalumu kwa wanawake kwani wao ndio wana uwezo wa kupata mimba hivyo hupelekea matumbo yao kuwa makubwa kutokana na uwepo wa mtoto tumboni. 4. 🔗 Tumbo kujaa maji (Fluid/Ascites). Tumbo (Abdomen) huweza kujaa maji kutokana na s