Posts

Showing posts from May, 2017

Kulegea kwa uume

Hii hutokana na kulegea kwa mishipa na misuli ya penis ambayo hupelekea damu kushindwa kuflow kwa hali inavyotakikana hvyo hupelekea kusinyaa kwa penis  Hvyo hii husababisha tatzo kama hlo Lakin hutibika kwan zipo dawa ambazo unaweza kutumia kama ambavyo nilizozitaja hapo awali Pia kuna mafuta mazur sana ambayo hualisha misur na pia huweza sawa mfumo wa Neva wa pembeni katka uume yaan peripheral nervous system nakuufanya uume uzid kuwa more sensitive Kwan mwanaume ana nerve endings 4000 katka uume wake hasa katka kichwa cha uume amapo mwanamke ana 8000 Hvyo unaweza pia kuuchua uume wako kupitia mafuta yafuatayo ✍Castro oil(mafuta ya nyonyo) ✍habat sauda oil ✍mafuta ya mzaituni yaan olive oil Pia mafuta haya huufanya uume kuwa mkubwa KWA DAWA ASILI ILIYOKWISHA ANDALIWA YENYE MATOKEO YA HARAKA KWA BEI YA KAWAIDA WASILIANA NAMI WHATSAPP/Call: 0764 51 69 95/0656 198 441 Email: thabitsayd@gmail.com

UJUE MLONGE (Moringa elerifera) NA FAIDA ZAKE

[4/20, 21:01] thabitsayd: Mmea huo👆🏻👆🏻kwa kiswahili hujulikana kwa jina la mlonge au mlonge longe ✍ ni mmea ambao unastawi vizuri sana katka maeneo ya jotojoto yaan tropical regions ✍✍ mmea huu hustawi sana katka maeneo ya pwani hasa katka ukanda wa bahari ya Hindi ✍✍ mmea huu hustawi katika maeneo yenye mwinuko wa kuanzia mita 0-500 meters. ✍✍ mlonge ni mmea ambao una asili ya sehemu za sub Himalaya kaskazini magharibi mwa nchi ya India ✍✍ ni mmea ambao unasemekana kuwa na faida zaidi za kiafya kuliko mimea mingine ambao hutumika kama dawa kwa wanadamu na chakula kwa wanadamu na wanyama ✍✍ kiingereza mmea huu hujulikana kama moringa tree ✍✍ kisayansi katika elimu ya mimea yaani botany mmea huu unajulikana kama ifuatavyo ✍common name: moringa tree ✍ scientific name: moringa oleifera (moringa spp) ✍ family :moringaceae Mmea huu una matunda yenye mbegu,,,, ✍✍ jiandae kujua faida za kiafya zinazofungamana na mmea huu muhimu 👇👇👇 [4/20, 21:01] thabitsayd: ✍✍Sifa

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)

Image
BAWASIRI,AINA ZAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE,CHANZO CHAKE NA TIBA ASILI (KUOTA KINYAMA,MIWASHO ,DAMU SEHEMU YA HAJA KUBWA) Dr.Mapande +255656198441 thabitsayd@gmail.com BAWASIRI NI NINI? -Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri. Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu  Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.     DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI 1. kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2. kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa 3

FAIDA ZA KIAFYA ZA MSHUBIRI MWITU(ALOE VERA)

Faida za mmea wa aloe vera (mshubiri mwitu ) 1. Huondoa uvimbe katika jicho Weka kiasi kidogo cha majimaji ya mu-aloe vera freshi kisha kuamka asubuhi, acha kwa dakika kadhaa kisha jisafishe. Uvimbe lazima ukimbie. Pia unaweza kuloweka pamba katika majimaji ya mualoe vera na kisha jisafishe katika jicho lenye uvimbe. 2. Huzuia na kuondoa michirizi ya tumbo itokanayo na ujauzito Anza kwa kupakaa majimaji ya mualoevera juu ya tumbo lako na ufanye kama masaji hivi taratibu juu ya tumbo mara 2 kwa siku katika kipindi chote cha ujauzito na baada ya kujifungua kwa miezi michache mpaka michirizi ipotee yote. 3. Hutibu bawasiri Ile ile sifa moja iliyonayo ya kutibu uvimbe ambayo inaweza pia kutibu malengelenge na uvimbeuchungu kwenye mwako wa mwili, ndiyo hiyo hiyo pia husaidia kutibu au kupunguza maumivu ya bawasiri. Chana tawi la aloe vera freshi na upate jeli yake, kisha pakaa eneo linalosumbuliwa na bawasiri mara mbili mpaka tatu kwa siku kwa wiki kadhaa hasa kama bawasiri imej