Posts

Showing posts from 2019

KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA /DAWA ASILI YA KUTIBU KIFAFA

Image
KIFAFA,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA TIBA YA KIFAFA Fig1:Dawa ya kutibu kifafa(Kifafa Powder ) Kifafa ni hali ambayo inatokea katika ubongo ambako  seli mbalimbali za neva(neurons)  hutoa ishara taarifa tofauti na kawaida.Kwa kawaida neva hufanya kazi ya kutoa mawimbi (electrochemical impulses) ambayo hutua kwenye neva nyingine,misuli na viungo viungo, na kuzalisha mawazo, hisia, na vitendo.  ▶Wakati wa kifafa, mtiririko huu wa shughuli za neva hutibuka, na kuleta taarifa/hisia ngeni, na tabia , au wakati mwingine maungo kutingishika/misuli kutingishika na kupelekea kupoteza fahamu. ▶ Mtu anaposhikwa na kifafa,neva zake za mwili huweza kutema taarifa hadi mara 500 kwa sekunde moja, mara dufu kuliko hali ya kawaida. Kwa wengine hali hii hutokea kwa nadra, lakini wengine hutokea zaidi ya mara 100 kwa siku. KUMBUKA ▶Kifafa hakiambukizi na hakisababishwi na ugonjwa wa akili/ mtindio wa ubongo. Kuna watu wenye mtindio wa ubongo walio na kifafa, lakini kifafa hakimaanishi kuwa

UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU ZAKE, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE ASILI

Image
TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI,SABABU, DALILI NA TIBA YAKE ASILI FIBROID NI NINI? Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio. Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke. Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa kama maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’. Hujulikana pia kama ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu . SABABU ZA MWANAMKE KUPATA UVIMBE

GOITRE,ROVU DALILI,CHANZO NA TIBA YAKE ASILIA

GOITRE/ROVU ▶Huu ni uvimbe usio wa kawaida katika eneo la koromeo (Thyroid Gland).Uvimbe huu hutokea  mbele ya shingo DALILI YA GOITA (ROVU) ▶ Uvimbe mbele ya shingo ▶Mama wajawazito kuharibu mimba ▶Kudumaa mwili na akili ▶Mtoto kufia tumboni ▶Kuzaliwa mtoto njiti (uzito pungufu au premature) ▶Kutetemeka na kuwa na wasiwasi. ▶Macho kutoka nje *SABABU ZINAZOSABABISHA GOITA* ▶Kupungua kwa IODINE katika chakula ▶Lishe duni ▶ Kuzidi uzalishwaji wa hormone aina ya Thyroxine(Over thyrodism. JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI ▶Tumia chumvi yenye Iodine hasa ile ya baharini ▶Kutumia vyakula vyenye Iodine kwa wingi kama vile dagaa, maziwa nk. ▶Kutoa elimu ya afya kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora na ▶Kumpeleka mgonjwa hospitali iwapo ameshaanza dalili Matibabu ya upungufu wa madini joto mwilini ▶Mgonjwa ataagiziwa dawa ya Iodine na daktari ▶Tumia dawa kama utakavyoagizwa na daktari ▶Operesheni itakayofanyika kama tezi imekuwa kubwa na athari zake zimeonekana ⤵⤵⤵⤵⤵

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO ▶ T atizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni miongoni mwa matatizo yenye kuwasumbua wanaume wengi katika jamii zetu.Tatizo hili limepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana huku ikiamwacha mwanaume akiwa katika udhalili na unyonge wa hali ya juu. ▶Takwimu zinaonesha kuwa  kati ya wanaume kumi(10) miongoni mwao saba(7) wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kukua kwa kasi kubwa siku hadi siku  huku wahanga wakiwa vijana wa watu wazima.Sasahivi si ajabu kumkuta kijana mwenye umri wa miaka 20 anasumbuliwa na tatizo hili katika jamii zetu.   ZIPO AINA KUU TATU (3) ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1⃣ Manii (sperms) kukosa uwezo wa kutungisha mimba. 2⃣ Ukosefu wa hamu ya kufanya tendo la ndoa.Na ikitokea umepata hamu hata kidogo basishahawa zinawahi kutoka(yaani unawahi kufika kileleni).Na Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa. 3⃣Uume kutosimama ipasavyo (Erectile dysfunct

BAWASIRI FLUID(DAWA ASILI KWA TATIZO LA BAWASIRI)

πŸ”₯ *BAWASIRI FLUID*πŸ”₯ ▶ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri  yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani:⤵ ▶ Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri. ▶ Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri. ▶ Huondosha uvimbe utokanao na bawasiri. ▶ Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani *Thrombosed Hemorrhoid* Dawa hii inapatikana katika ujazo wa robo lita yaani mililita 250 (250 mls).Ambayo ni doze kamili. Ni dawa yakupakaa. ▶Asilimia 100 (100%) ya wateja wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji lakin bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena. Kwa mahitaji ya dawa wasiliana namimi:⤵ *Dr.Abuu barmak(Thaabit Said)* Email:thabitsayd@gmail.com Call/Whatsap: 0656 198441/0764 516995.
πŸ”₯ πŸ”₯ SUPER RELIEF πŸ”₯πŸ”₯ Ni dawa ya asili iliyofanyiwa utafiki kwa takribani miaka mitatu na inauwezo mkubwa sana wakutibu matatizo ya meno yafuatayo:⤵ ▶ Meno kuuma ▶ Huua bakteria hatari katika meno ▶ Huondosha harufu mbaya mdomoni ▶ Hutibu meno kulegea ▶ Huondosha asili katika meno ▶ Hutibu fizi kuvimba ▶ Huondosha maumivu ya fizi ▶ Huzuia fizi kutoa damu. ▶ Meno kufa ganzi nk. Huna haja ya kuhangaika kwa maumivu ya meno wala kutoa meno kwani dawa hii ina ufanishi wa hali ya juu Alhamdulillaah na hutibu kwa muda mchache sana(Ndani ya dakika 5-10) hutoa majibu mazuri. ▶ Dawa hii ina mchanganyiko wa vitu asilia na hutibu matatzo hayo moja kwa moja. Bei yake ni rahisi sana Maa Shaa Allah Ni shilingi 5000/= tu pesa ya kitanzania Kwa bei ya jumla na rejareja wasiliana nami kwa namba:⤵ 0656 198 441/0764 516995 Email: thabitsayd@gmail.com Produced by: Abuu barmak(Thabit Said)