GOITRE,ROVU DALILI,CHANZO NA TIBA YAKE ASILIA

GOITRE/ROVU

PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com


▶Huu ni uvimbe usio wa kawaida katika eneo la koromeo (Thyroid Gland).Uvimbe huu hutokea  mbele ya shingo

DALILI YA GOITA (ROVU)

▶ Uvimbe mbele ya shingo
▶Mama wajawazito kuharibu mimba
▶Kudumaa mwili na akili
▶Mtoto kufia tumboni
▶Kuzaliwa mtoto njiti (uzito pungufu au premature)
▶Kutetemeka na kuwa na wasiwasi.
▶Macho kutoka nje

SABABU ZINAZOSABABISHA GOITA

▶Kupungua kwa IODINE katika chakula
▶Lishe duni
▶ Kuzidi uzalishwaji wa hormone aina ya Thyroxine(Over thyrodism.

JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI

▶Tumia chumvi yenye Iodine hasa ile ya baharini
▶Kutumia vyakula vyenye Iodine kwa wingi kama vile dagaa, maziwa nk.
▶Kutoa elimu ya afya kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora na
▶Kumpeleka mgonjwa hospitali iwapo ameshaanza dalili

Matibabu ya upungufu wa madini joto mwilini

▶Mgonjwa ataagiziwa dawa ya Iodine na daktari
▶Tumia dawa kama utakavyoagizwa na daktari
▶Operesheni itakayofanyika kama tezi imekuwa kubwa na athari zake zimeonekana

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
Kwa dawa asili ya kutibu na kuondosha uvimbe wa tatizo hili la Rovu/Goita wasiliana nami kwa⤵:

PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

NGIRI,VISABABISHI VYAKE,DALILI ZAKE,AINA ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ZA ASILI

BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI(KUOTA KINYAMA,MIWASHO SEHEMU YA HAJA KUBWA)