CHANGO LA UZAZI NA TIBA YAKE. FAHAMU KUHUSIANA NA CHANGO LA UZAZI. PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. DALILI ZAKE KWA MWANAUME: DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA(isiyo komaa) Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵ 1.Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2.Kupiga mingurumo tumboni. 3.Kujaa gesi tumboni. 4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5.Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja k...
Posts
SABABU KUU 5 ZINAZOWEZA KUSABABISHA UWE NA TUMBO KUBWA (Abdominal distension)
- Get link
- X
- Other Apps

SABABU KUU 5 ZINAZOWEZA KUSABABISHA UWE NA TUMBO KUBWA (Abdominal distension) PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com DAR ES SALAAM, ILALA ⚫ Zipo sababu kuu 5 zinazoweza kusababisha mtu akaonekana kuwa na tumbo kubwa kama ifuatavyo; 1. 🔗 Tumbo kujaa gesi (Flatus). Watu wengi wamekuwa na matumbo makubwa wakidhani kwamba wana vitambi vinavyotokana na mafuta kumbe matumbo yao yamejaa gesi inayosababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo kukosa choo na kuwa na Acid reflux. 2. 🔗 Tumbo kujaa kinyesi (Faeces). Kwa wale ambao hawapati choo inavyotakiwa (Constipation) hujaa matumbo yao kana kwamba wana vitambi vya mafuta ilihali matumbo yamejaa kinyesi (Mavi) hali ambayo inasababisha waonekane kuwa na matumbo makubwa. 3. 🔗 Mimba (Fetus). Hii ni maalumu kwa wanawake kwani wao ndio wana uwezo wa kupata mimba hivyo hupelekea matumbo yao kuwa makubwa kutokana na uwepo wa mtoto tumboni. 4. 🔗 Tumbo kujaa maji (Fluid/Ascites). Tumbo (Abdomen) huweza kujaa maji kut...
VARICOCELE, VISABABISHI VYAKE,DALILI NA MATIBABU KWA TIBA ASILI
- Get link
- X
- Other Apps

VARICOCELE NI NINI? Pandex Herbal Clinic +255 656 198 441 Pandexclinic@gmail.com ⚫ VARICOCELE ni hali ambapo mishipa ya damu inayotoa damu kwenye korodani inakuwa na uvimbe au kuvimba. Hii husababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa valve (vifaa vya kuzuia kurudi kwa damu) kwenye mishipa ya damu inayotoka kwenye korodani. ⚫ Hali hii inaweza kusababisha damu kusimama kwenye mishipa hiyo na kusababisha uvimbe. Varicocele husababisha upungufu wa uzalishaji wa manii (Mbegu za kiume) na inaweza pia kusababisha maumivu ya korodani. ⚫ Varicocele ni kawaida sana kwa wavulana na wanaume, na inakadiriwa kuwa karibu 15% ya wavulana na wanaume wenye umri wa kubalehe wanaweza kuwa na varicocele. Hata hivyo, si kila varicocele inahitaji matibabu, na mara nyingi hali hiyo inaweza kusimamiwa kwa kubadilisha mtindo wa maisha au kwa matibabu ya dawa. ⚫ Kwa wanaume ambao wanapata maumivu ya korodani au upungufu wa uzalishaji wa manii, Matibabu ni jambo muhimu sana . HATUA/GRADES O...
MATATIZO YA PINGILI ZA UTI WA MGONGO (DISC HERNIATION/HERNIATED DISC)
- Get link
- X
- Other Apps

MATATIZO YA PINGILI ZA UTI WA MGONGO (DISC HERNIATION/HERNIATED DISC) Pandex Herbal Clinic +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com DAR ES SALAAM. ⚫ Disc herniation, au herniated disc: Ni hali ambayo inahusisha kuhama au kuvuja kwa kiungo cha wazi cha utando wa ndani (disc) katika uti wa mgongo. Kwa kawaida, kuna mifumo ya tishu (TISSUE) ngumu nje ya disc na tishu laini ndani yake. Wakati disc herniates, kiungo cha ndani cha disc kinaweza kusogea nje ya eneo lake la kawaida na kuvamia nafasi ya uti wa mgongo. ⚫ Herniated disc inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na uharibifu wa miundo ya disc kutokana na kuzeeka, shughuli za kawaida za kila siku, au majeraha ya uti wa mgongo. ⚫ Dalili zinazohusiana na herniated disc zinaweza kutofautiana, lakini zinaweza kujumuisha maumivu ya mgongo, maumivu ya mguu au mkono, hisia za kupooza au kuhisi umeme (kuwaka moto) na udhaifu katika eneo lililoathirika. UTAMBUZI(DIAGNOSIS) ⚫Utambuzi wa herniated dis...
ANTI TUMOR ACTIVITIES OF EUPHORBIA PROSTRATA
- Get link
- X
- Other Apps

ANTI TUMOR ACTIVITIES OF EUPHORBIA PROSTRATA Pandexclinic@gmail.com PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 ⚫ Euphorbia prostrata, commonly known as prostrate spurge or prostrate sandmat, is a medicinal plant that has been traditionally used in various folk medicine practices for its therapeutic properties. Several studies have investigated the anti-tumor activities of Euphorbia prostrata and its bioactive compounds. Here are some key findings: 1. Cytotoxic activity: Euphorbia prostrata extracts have shown significant cytotoxic activity against various cancer cell lines, including breast, colon, lung, and liver cancer cells. These extracts induce cell death by promoting apoptosis (programmed cell death) and inhibiting cell proliferation. 2. Anti-inflammatory effects: Chronic inflammation plays a crucial role in the development and progression of tumors. Euphorbia prostrata extracts have exhibited potent anti-inflammatory effects by inhibiting the production ...
SULUHISHO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD
- Get link
- X
- Other Apps

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) PANDEX HERBAL CLINIC WhatsApp: +255 656 198 441 Email: pandexclinic@gmail.com Gastroesophageal reflux disease (GERD) . -Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia. Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili. DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo: DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux 1. Kuwaka...
PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI
- Get link
- X
- Other Apps

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI PANDEX HERBAL CLINIC +255 656 198 441 pandexclinic@gmail.com DAR ES SALAAM,ILALA UGONJWA WA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID) -Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye Ovary (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana). ⚫ Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID ⚫ Kuna aina mbalimbali za bakteria ambazo zinaweza kusababisha PID. Bakteria wengi wanaosababisha ugonjwa huu huanzia katika uke na huenea hadi kwenye mirija ya uzazi, mayai ya fallopian, kizazi, na kizazi cha mimba. ⚫ Aina za bakteria zinazojulikana kusababisha PID ni pamoja na Chlamydia trachomatis na Neisseria ...