TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)
Dr.Mapande
WhatsApp: +255656198441
Email: thabitsayd@gmail.com
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.
Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:‡οΈβ€΅οΈ
1.ποΈ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.ποΈ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.ποΈ Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.ποΈ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.ποΈ Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.
6.ποΈ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.ποΈ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.ποΈ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.ποΈ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.ποΈ Kupata kikokozi kisichoisha
11.ποΈ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.ποΈ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.ποΈ Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.ποΈ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.ποΈ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.ποΈ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.ποΈ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.ποΈ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.ποΈ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.ποΈ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.ποΈ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.ποΈKichefuchefu na kutapika.
MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.ποΈ Uvutaji wa sigara
2.ποΈ Unywaji wa pombe
3.ποΈ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.ποΈ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.ποΈ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.π Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
7.ποΈ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.ποΈ Kuwa Mjamzito
9.ποΈ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.ποΈ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.
MTIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:‡οΈβ€΅οΈ
1οΈβ£ MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.
2οΈβ£ MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.
-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni PEPTICOL POWDER,PEPTIC ULCERS + Nk.
Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.
PANDEX HERBAL CLINIC
ILALA-DAR ES SALAAM
PANGANI-STREET
+255656198441
thabitsayd@gmail.com
Comments
Post a Comment