Posts

Showing posts from 2020

UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI

Image
  UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE ASILI Fig1: DM POWDER (dawa asili ya kutibu kisukari) KISUKARI (DIABETES MELITUS) •Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~hyperglycemia ) AINA ZA KISUKARI 1️⃣ TYPE 2 DIABETES •Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose). 2️⃣ TYPE 1 DIABETES •Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu. 3️⃣ PRE-DIABETES •Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2. •Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes* VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU 1️⃣ KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar) •Kwa watu wengi Wenye Afy

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI

Image
CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI                  Fig1; Uzazi & Chango Powder Dr.Mapande  Tiba asili TanzaniašŸ‡¹šŸ‡æ +255764516995 +255656198441 thabitsayd@gmail.com ⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE ⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵ 1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi). 2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa. 3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi. 4⃣Hujisikia homa kali anapokaribia sik

MAGONJWA YA MOYO,SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA,DALILI,CHANZO CHAKE NA TIBA/DAWA ASILI.

Image
MAGONJWA YA MOYO Cardiovascular diseases (CVDs) ▶Ni kundi la Matatizo ya moyo pamoja na mishipa ya damu. AINA YA MATATIZO YA MOYO   1⃣ Coronary Heart disease. -Ni Ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo inasamabaza damu kwenye misuli ya moyo. 2⃣ Cerebrovascular disease -Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambazia damu Ubongo. 3⃣ Peripheral Arterial Disease -Ni ugonjwa wa mishipa ya damu ambayo husambaza kwenye mikono na miguu. 4⃣ Rheumatic heart Disease. - Ni kuharibika kwa misuli ya moyo na Valvu kutokana na homa ya Rheumatoid ambayo husababishwa bacteria aina ya Streptococcus 5⃣ Congenital heart Disease -Ni maharibiko ya muundo wa moyo (heart structure) ambayo hutokea wakati wa kujifungua; SABABU ZINAZOPELEKEA MAGONJWA YA MOYO ▶ Uvutaji sigara ▶ Lishe duni. ▶ Pombe ▶ Kutofanya mazoezi ▶ Presha ya kupanda( HTN-Hypertension) ▶ Kisukari (Hyperglycemia) ▶ Uzito uliozidi (High body mass Index,above 25kg/m²)~Obesity NJIA ZA KUEPUKA NA KUTIBIA MATATIZO YA MOYO ▶ Acha kutumia tumbaku(sigara) ▶

DAWA ASILI YA KUOTESHA NYWELE,MBA KWENYE NYWELE,KUKUZA NYWELE,MICHIEIZI NA MATATIZO YA NGOZI.

Image
KASUDIA EXTRA VIRGIN COCONUT OIL Piga simu: +255715224721 +255742625042 šŸ„„Whatsapp  +255715224721 Barua Pepe: ∆+255715224721 ∆drkasudia@gmail.com  Dr.Kasudia Tiba Asili,Tanzania Fig1: Kasudia Extra Virgin coconut oil ●Ni mafuta halisi ya nazi ambayo hayana nyongeza ya kemikali yoyote hatarishi. ●Hayajachemshwa wala kukutana na joto lenye kupoteza uhalisia wake. Yanatengenezwa katika hali ya ubaridi. ●Kasudia Extra Virgin Oil yametengenezwa kulingana na viwango vya Kimataifa . ●Vimelea visababishi vya magonjwa vimedhibitiwa kipindi cha utengenezwaji na upakiaji wa mafuta. FAIDA ZA KIAFYA ZA KASUDIA EXTRA VIRGIN COCONUT OIL: šŸ„„ Kurudisha nywele zilizonyonyoka. šŸ„„Hutibu matatizo ya Ngozi ( kuungua na harara) šŸ„„Huondoa tatizo la mba kwenye nywele. šŸ„„Hupambana na matatizo fangasi kwenye ngozi. šŸ„„Hutibu vidonda vya ngozi. šŸ„„ Huzuia alama za michirizi kwenye ngozi. Kwahiyo:   Kasudia Exra Virgin Coconut Oil ni suluhisho la ngozi yako na afya yako kwa ujumla. mls 120 Tsh 8000/= ml 250 Tsh 15,

VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO

Image
  VIDONDA VYA TUMBO,CHANZO,DALILI,NA TIBA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTICOL POWDER   FIG1 ;DAWA ASILI YA VIDONDA VYA TUMBO VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS) Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk     AINA YA VIDONDA VYA TUMBO. Kuna aina tatu ya vidonda vya tumbo       GASTRIC ULCERS    Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.       ESOPHAGEAL ULCERS Hivi   ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula .        DUODENAL ULCERS Ni vidonda ambavyo katika sehem

DAWA ASILI KWA MATIBABU YA PRESHA,MOYO NA UNENE ULIOKITHIRI

BP POWDER Ni dawa itokanayo na mimea tiba maalumu kwaajili ya kutibu matatizo ya presha,moyo na kupunguza unene/uzito wa mwili kwa muda wa siku chache sana Ƙ    Hupunguza uzito wa kilo 4-5 kila wiki yaan kila baada ya siku 7. Ƙ    Hutibu presha ya kupanda na kushuka kwa muda wa wiki moja mpaka wiki. Ƙ    Huyeyusha mafuta mwilini ambayo ni chanzo cha magojwa mengi hatari kama vile magonjwa ya moyo ,presha na kisukari. Ƙ    Dawa hii ina uwezo mkubwa sana biidhillah katika kutibu matatizo tajwa Na kwasasa inapatikana kwa bei ya ofa ambayo ni shilingi elfu 35 tu ya kitanzania Wahi mapema kabla ofa hii haijafika mwisho. Kwa mahitaji ya dawa hii wasiliana nami kwa; Whatsapp/calls: 0764 516 995/0656 198 441 Email:  thabitsayd@gmail.com Dr.Mapande 

MATATIZO YA MOYO,PRESHA,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI

Image
CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO NA PRESHA Fig1.Dawa ya kutibu matatizo ya moyo na presha KWA MAHITAJI YA DAWA,WASILIANA NASI KWA: WhatsApp/Calls: 0764516995/0656198441 Email: thabitsayd@gmail.com Dr. Mapande Magonjwa ya moyo hutokea pale ambapo moyo huathiriwa na kuharibiwa kwa vitenda kazi vyake. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata magonjwa ya moyo nayo ni pamoja na; Heart-Disease ▶Kuwa na Lehemu (Cholesterol) ▶ Shinikizo la damu (B.P) ▶Kuvuta sigara ▶Uzito kupita kiasi na unene uliozidi ▶Kisukari(Diabetes) ▶Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili ▶Umri ▶Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi ▶Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili ▶Historia ya magonjwa yanayoambatana na moyo katika familia DALILI ZA UGONJWA WA MOYO Mara nyingi dalili hujionesha wakati mtu kakaa na ugonjwa kwa mda mrefu kidogo, ila kuna zingine zinatangulia na mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia. Uonap